Jamaa na ndugu wa Kijina anayetuhumiwa kwa mauaji ya Padri Mushi, wakiwa nje ya jengo la Mahakama Kuu Zanzibar wakizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka katika mahakama hiyo kusikiliza shauri lillilowasilishwa na Wakali anayemtetea Mtuhumiwa huyu, shauro hilo limeahirishwa mpaka jumatatu ijayo.
Prof. Anyoni: Tutumie Teknolojia Kujijenga Kiuchumi
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Serikali imeandaa mkakati maalumu wa kutambua mahitaji ya teknolojia nchini
(Technology Road Map) kwa kipindi cha miaka 20 ...
10 minutes ago
0 Comments