Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo.Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.
SERIKALI KUIFUNGUA PEMBA KIUTALII
-
Na. Mwandishi wetu, Pemba
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mh. Hamad Hassan Chande (Mb),
amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
20 minutes ago


0 Comments