Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON) Bw. Rizanur Meral na ujumbe wake leo April 19, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
SERIKALI KUIFUNGUA PEMBA KIUTALII
-
Na. Mwandishi wetu, Pemba
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mh. Hamad Hassan Chande (Mb),
amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
0 Comments