Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) na wageni wake Balozi wa Marekeni nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,pamoja na Viongozi wengine wakiangalia majarida yaliyocha pishwa kuhusu mradi huo wa Umeme wakati wa Sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaan
Baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Mji wa Unguja, wakiwa katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,na akiwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa Zanzibar wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada
la MCC la Marekani,sherehe hizo zilifanyika katika uwanja wa Amaan mjini Unguja
Balozi wa Marekeni nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa Zanzibar wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Njia ya Pili kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni ,uliofadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la Marekani,sherehe hizo zilifanyika katika uwanja wa Amaan mjini Unguja
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
INADES-Formation Tanzania yazindua kitalu cha miti chenye lengo la
kuzalisha miche 500,000 ifikapo 2027
-
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la INADES-Formation Tanzania limezindua kitalu cha miti chenye
lengo la kuzalisha miche 500,000 ifikapo mwaka 2027, ikiwa ni se...
27 minutes ago
0 Comments