6/recent/ticker-posts

Vijana Wadau wakiwa na Simanzi.

Wadau wa mtaa wa Rahaleo wakiwa katika kijiwe wakiwa na majonzi ya kuondokewa na kipenzi chao Bi Kidude,  kwa kumpoteza  bibi wa mtaa huo alikuwa rafiki wa kila Kijana na Vijana wote katika mtaa huo ni wajukuu zake na wapenzi wake. wakitafakari baada ya kurudi mazikoni

Post a Comment

0 Comments