Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakiwa katika kituo chja kupiga Kura kuwachaguwa Wawakilishi wake kuwawakilisha katika Baraza la Katiba katika Wilaya ya Mjini jumla ya Wajumbe watatu watachaguliwa katika uchaguzi huo.
Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakijiandikisha kabla ya kupiga kura kuchagua wajumbe wa Baraza la Katiba
Wananchi wa Shehia ya Muembemakumbi wakisubiri kupiga kura katika kituo hicho kuchagua wajumbe wa baraza la katiba
Mradi wa PACSMAC Wabainisha Suluhisho la Changamoto za Tabianchi kwenye zao
la Kahawa
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Serikali imejipanga kuwezesha upatikanaji wa maji kwa ajili ya kilimo cha
umwagiliaji katika zao la kahawa, kwa lengo la ku...
3 hours ago
0 Comments