Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa risala ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa wananchi ,huko Ikulu Mjini Zanibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
SJMT NA SMZ ZAWEKA MIKAKATI KUIMARISHA MUUNGANO
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Dkt. Islam Seif Salum
(kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazing...
1 Comments
kuna vvitu vingine havikufai kufanya dr sheni , wewe ni mwanasiasa basi ubakie huko huko usijiingize kwenye sera nyengine ndugu yangu
ReplyDelete