Tutarudi na kurudisha hadhi yetu ya miaka ya 1970, ndivyo inavyoonekana vijana hawa wakisema wakati wa mazoezi yao.
Kikosi cha timu ya Kikwajuni kikiwa chini ya Jopo la Makocha wake Burhani Msoma, Masoud Lee, Suleiman Jabir na Mzee Ndevu akiwa uwanja akitowa mafunzohayo kwa Wachezaji wake katika uwanja wao wa Mnazo mmoja wakifanya mazoezi hayo kwa nguvu.
Kikosi cha timu ya Kikwajuni kikiwa katika mazoezi ya kujitayarisha kurudi ligi daraja la kwanza Taifa, kikiwa chini ya Kamati ya Muda ya Kampeni hiyo Ikiwa chini ya Mwenyekiti wake Mzee Hassan,
MAKAMU WA PILI AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE, ASISITIZA UWAJIBIKAJI
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf
Masauni(kushoto) akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.
Hemed Suleiman Ab...
21 minutes ago
0 Comments