Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na wafiwa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali mzee Faraji Mziwanda wa Chaani, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimjuilia hali Haji Makame Sangire wa Kigunda, ikiwa ni ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR).
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
7 hours ago
0 Comments