Hapsa Omar (kulia) na Habiba Nassor wa kikundi cha Kung Fu cha Shehia ya Nyerere wakifanya onyesho la kung fu jana Visiwani Zanzibar baada ya IGP Saidi Mwema kufanya uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani Visiwani Zanzibar jana. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
TMA Yabainisha Njia Rasmi za Kupata Taarifa za Hali ya Hewa
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imebainisha njia rasmi zinazotumika
katika usambazaji wa taarifa za hali ya hewa nchin...
2 hours ago
1 Comments
No comment, hongereni vijana
ReplyDelete