Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Pawar Kumar, akimsikiliza Ofisa wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Nd. Sheha Mjaja akitowa maelezo wakati alipofanya ziara kutembelea Kikundi cha Ushirika cha Kuhifadhi Mazingira cha Nyamazi,kinachojishughulisha na kilimo cha Mikoko.
Washa Injini za Ushindi Na Meridianbet Kwa Kucheza Super Heli Premium
-
MERIDIANBET Tanzania inafungua ukurasa mpya wa burudani ya kasino mtandaoni
kwa kukuletea Super Heli Premium. Hapa, wewe ndiye rubani wa safari yako.
Kil...
4 hours ago
0 Comments