Tangazo likiwa limewekwa katika moja ya daka katika marikiti ya darajani kukataza kuegesha vyombo vya moto na kufanya biashara mbele ya duka hilo linalojishughulisha na biashara ya kuuza vitu vya mapishi vya viungo mbalimbali,eneo limekuwa likifanya ni maegesho na wafanyabiashara kupanga bidhaa zao ili kupata wateja na kuweka kiwingu katika duka hilo na kuwa usumbufu kwa wateja wake wanaofika dukani hapo kupata mahitaji yao.
Ruka Juu Na Super Heli Premium, Badili Kila Kitu Na Shinda Zaidi
-
MERIDIANBET imekuja na upepo mpya wa ushindi kwa wachezaji wote wanaopenda
msisimko usio na mipaka. Kupitia Super Heli Premium, sasa unaingia kwenye
ulim...
1 day ago
1 Comments
Hili baraza la mji lino ongzwa na vipofu wakulima na wakwezi, wao na muaomsha akilizao sawa, aljunu funu, tutafika tuendako
ReplyDelete