6/recent/ticker-posts

Diamond Azinduwa Nyimbo yake ya Music Gani katika Ukumbi wa Mess Polisi Usiku Huu Zenj.

Diamond akiwasili katika hoteli ya Zanzibar Beach kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na show yake leo usiku ndani ya ukumbi wa mesi Polisi

Diamond akizungumza na waandishi alipowasili jioni hii Zenj akitokea Uhaibuni kuonesha shoo yake na kutua Zenj akishindikizwa na Mkali  Ney Wamitego.


Ney Wamitego akizungumza na Waandishi kuhusiana na shoo hiyo na Diamond leo katika ukumbi wa mesi ya Polisi







 Diamond akijibu maswali ya Waandishi katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort kuhusiana na Nyimbo yakevMpya ya Muziki Gani ndani ya Ukumbi wa Mess ya Polisi Ziwanin leo Usiku

Post a Comment

1 Comments

  1. Ndugu, Mapara, sisi wadauu unatu nyima raha yakutembelea huu mtandao, kuzibania, comment, bila ya sababu, ya msingi, kwanza, unajua hii, zanzinews, nimtandao, hunotoa, habari kwa ufasaha, lakini, chachu inakosekana, sisi tunatuma comment, ilikupimana uwezo wakufikri, kama ukiiona, inamatusi, wajib kuifuta, lakini yenye mawzo kinzani, bora uiwache, tulpatakazi, kuwasha wishi, wadau wenzetu, kutemmbela, huumtandao, sasa, bora, utusajili, kwa poswadi, il akikuka maadili, umuonye,

    ReplyDelete