6/recent/ticker-posts

Kitalu cha Miche ya Mikarafuu



Mkulima wa Mikarafuu kisiwani Pemba akiwa katika kitalu chake cha kuotesha miche ya mikarafuu akimwagia maji ili kuikuza miche hiyo kwa ajili ya kilimo hicho ni zao kuu la Taifa Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments