Meli ya Mzingo ya Kampuni ya Stadt Sevilla ikifunga gati katika bandari ya Zanzibar ikiwa na shehena ya Makontena ya mizingo ya Wafanyabiashara wa Zanzibar, bandari hii hupokea meli za aina mbalimbali kwa ukubwa tafauti kwa ajili ya kushusha mizigo.na kupakia.
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
5 hours ago
0 Comments