6/recent/ticker-posts

Mtaa ya Mji Mkongwe Huooo...........

Mdau huu ni mtaa maarufu katika mji wa Zenj kwa watalii na Wazanzibar kwa mandhari yake wakati wa mchana na usiku unavyovutia wakazi wa mji huo wakiwemo Watalii wanaofika katika Zanzibar kutembelea  maeneo ya historia ya Zanzibar, Wageni wengi wanaofika kutembelea Zenj hufika katika maeneo ya Mji Mkongwe, kujionea Vivutio vilioko katika maeneo hayo. Hapa ni shangani kuelekea Posta na Vuga Makamani. 

Post a Comment

0 Comments