6/recent/ticker-posts

Harakati Madukani Mchangani.

Harakati za mwishomwisho kwa ajili ya maandalizi ya Sikukuu ya Eid Al Hajj inayotarajiwa kufanyika kesho katika Visiwa vya Marashi ya Karafuu Zenj wananchi wakiwa katika harakati hizo katika mitaa ya mchangani kutafuta mahitaji ya nguo kwa ajili ya watoto wao, ili kuweza kuungana na Waislamu Duniani kusherehekea sikukuu hiyo.  

Post a Comment

0 Comments