6/recent/ticker-posts

Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge Iringa.


 Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Iringa katika sherehe za maadhimisho ya mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika Iringa.
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Mkoa Bora wakati wa Mbio za Mwenge katika maadhimisho ya mbio hizo yaliofanyika Mkoani Iringa na kuadhimisha miaka 14 ya kifo cha Mwalim Nyerere.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Vijana walikimbiza Mwenge wa Uhuru mikoa yote Tanzania, baada ya kumaliza mbiohizo za mwenge katika Mkoa wa Iringa jana14-10-2013 na kuadhimisha miaka 14 tangu kifo cha Mwalim Nyerere.

Post a Comment

0 Comments