6/recent/ticker-posts

Tamasha la Bashasha kufanyika Viwanja vya Kwa Bikhole Bungi

Mkurugenzi wa Tamasha la Bashasha Fastival Simai Mkadamu Haji akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Tamasha la Bashasha ambalo litafanyika Tarehe 24/01/2026, katika Viwanja vya Kwa Bikhole Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Maelezo Rahaleo Zanzibar
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Mkurugenzi wa Tamasha la Bashasha Fastival Simai Mkadamu Haji akizungumza kuhusiana na Tamasha la Bashasha ambalo litafanyika Tarehe 24/01/2026, katika Viwanja vya Kwa Bikhole Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Maelezo Rahaleo Zanzibar.

Mkurugenzi wa Tamasha la Bashasha Fastival Simai Mkadamu Haji akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Tamasha la Bashasha ambalo litafanyika Tarehe 24/01/2026, katika Viwanja vya Kwa Bikhole Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Maelezo Rahaleo Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.23/01/2026

 

Post a Comment

0 Comments