6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba Ashiriki Msiba wa Marehemu Mzee Mtei

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa  aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama), Wilaya ya Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Januari 24, 2026. Kushoto ni Mkewe Neema Mwigulu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama), Wilaya ya Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Januari 24, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Post a Comment

0 Comments