Wachezaji wa Timu ya JKU na Mafunzo wakiwania mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2026, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Mafunzo imeshinda mcheo huo kwa bao 2-1.
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
4 hours ago








0 Comments