Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akisaini kitabu cha maombolezo wakati alipofika kushiriki Misa ya maziko ya aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Edwin Isaac Mtei, yaliyofanyika nyumbani kwake Tengeru, jijini Arusha.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiweka shada la maua katika kaburi wakati Misa ya maziko ya aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Edwin Isaac Mtei, kama ishara ya kutoa heshima ya mwisho, yaliyofanyika nyumbani kwake Tengeru, jijini Arusha.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Comments