6/recent/ticker-posts

PBZ wafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation


 

Uongozi wa PBZ BANK, ukiongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji CPA Fahad Soud Hamid, umefanya kikao muhimu na Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation Sheikh Nurdin Muhammad Ahmad (Kishki) kwa lengo la kujadili masuala ya kijamii na kiuchumi yanayolenga kuimarisha maendeleo ya Taasisi zote mbili.
PBZ BANK itaendelea kushirikiana na Taasisi mbalimbali zenye malengo ya maendeleo ili kujenga jamii imara, yenye uchumi endelevu na fursa kwa wote

Post a Comment

0 Comments