6/recent/ticker-posts

Kongamano la Jumuiya ya wazee wastaafu,walimu na wafanyakazi

 Mwenyekiti wa  Kongamano la Jumuiya ya wazee wastaafu,walimu na wafanyakazi  Ali Hassan Khamiss akielezea  mada ya umuhimu wa   historia katika nchi  kushoto ni Salum Maalim Salum ni Mjumbe wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamadunu, Utalii na Michezo Kikwajuni Mjini Zanzibar. (Picha na Miza Othmani Maelezo-Zanzibar).


 Mmoja kati ya wazee  Ali Juma Chum kutoka Shehia ya Magogoni Mjini Unguja  akichangia katika  Kongamano la Jumuiya wazee, wastaaafu,wakulima na wafanyakazi  huko ukumbi wa Wizara ya Habari Utamadunu Utalii na Michezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.( Picha na Miza Othmani Maelezo-Zanzibar).
Mmoja wa wazee Haji Seti Haji  kutoka Shehiya ya Mpendae Mjini Unguja  akichangia umuhimu wa historiya ya Zanzibar na utamaduni wake ulindwe na kuezniwa ili usije ukatoweka huko ukumbi wa Wizara ya Habari Utamadunu Utalii na Michezo Kikwajuni Mjini Zanzibar.( Picha na Miza Othmani Maelezo-Zanzibar).
 
Wazee ,wastaafu ,walimu na wafanya kazi wakisikiliza maeelezo katika Kongamano la Jumuiya wazee, wastaaafu, wakulima na wafayakazi katika  ukumbi wa Wizara ya Habari,Utamadunu, Utalii na Michezo Kikwajuni Mjini Zanzibar. (Picha na Miza Othmani Maelezo-Zanzibar).
 
 

Post a Comment

0 Comments