Mwenyekiti Kamishini ya Utalii Zanzibar Dk Ahmada Hamadi Khatib akizungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya maadhimisho ya sikuu ya utalii Duniani.
Waandishi wa habari wakimsikiliza mwenyekiti Kamisheni ya Utalii ofisini kwake Amani kwa wazee.
Naibu waziri wa ardhi,makaazi,maji na nishati Mh Haji Mwadini Makame akipanda mti siku ya Utalii Duniani katika vianzio vya maji Chumbuni mjini Zanzibar.
Katibu mkuuWizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Ali Mwinyi Kai akipanda mti siku ya Utalii Duniani.
Mwenyekiti Kamisheni ya Utalii Dk Ahmada Hmadi Khatibu akipanda mti siku ya Utalii Duniani.
Mmoja wa watalii akijikuta akiingia katikati ya ngoma za utamaduni baada ya kunogewa na ngoma ya msewe umaarufu( kibati ) siku ya Utalii Duniani
Ngongoti huyu akiwa mmoja wa kiburudisho katika sherehe hizo.
Mh Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amalii Ali Juma Shamuhuna akifunguwa resi za ngalawa Forodha Mchanga mjini Zanzibar.
Ngalawa zikionekana kuanza resi hizo siku ya Utalii Duniani .
Mshindi wa mwanzo wa ngalawa ya Lailati Bw Khalidi Khamis akipokea zawadi kwa mgeni rasimi Mh Ali Juma Shamuhuna.
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments