Wananchi wakiwakatika harakati za kutafuta Kitooleo aina ya smaki katika marikiti kuu ya darajani, katika kipindi hichi samaki wamekuwa na bei kutokana na hali ya bahari kuwa na upepo wa hapa na pale. kipande kimoja cha samaki katika soko hilo kiliuzwa kwa shilingi 2000/= na kuendelea na samaki aina ya sehewa aliuzwa kwa shilingi 4500/= usisema samaki wa kabila aina ya changu aliuzwa kwa shilingi 4500/- na 10,000/= inategemea ukubwa wa samaki.
Bilioni 75.4 Zatikisa Arusha DC, Wanafunzi 20,000 Kunufaika
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Habari njema kwa wakazi wa Arusha! Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
imependekeza bajeti ya shilingi bilioni 75.4 kwa mwaka wa fed...
8 hours ago
0 Comments