Wananchi wakiliondoa gari la abiria lenye namba za usajili Z469 BZ, baada ya kupanda kidaraja cha kugawa njia ya kuingilia na kutokea katika barabara inayoelekea mkunazini mnadani. kama inavyoonekana picha wananchi wakiwa katika jitihada za kuiondoa katika kidaraja hicho.e
TANAPA SPORT AND HEALTH DAY
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limefanya bonanza la michezo
maalum lijulikanalo kama “TANAPA Sport and Health Day” ...
12 hours ago
0 Comments