Ziara ya kikazi ya ujumbe wa wadi za Makunduchi yamalizika kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha elimu katika skuli za Makunduchi. Afisa tawala ndugu Abdalla Ali Kombo akizungumza na bwana Tommy Junemar juu ya uwezekano wa kuleta walimu wa masomo ya sayansi kwa skuli za Makunduchi. Mazungumzo hayo yatafuatiwa na mazungumzo mengine Makunduchi kabla walimu hao kuletwa nchini.
WMA YATOA ELIMU YA VIPIMO KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA DKT. SAMIA DODOMA
-
Na Mwandishi Wetu Wetu - DODOMA
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imetoa mafunzo ya vipimo kwa wanafunzi wa
Dr. Samia Dodoma Secondary School, ikiwa ni s...
42 minutes ago
0 Comments