Mradi mkubwa wa usambazaji wa maji safi na salama kwa Wananchi mbalimbali katika kisiwa cha Pemba umeshamiri kwa utandazaji wa mabomba ya maji katika sehemu mbalimbali za Vijiji vya Pemba, kama yanavyoonekana mabomba haya yakiwa katika Kijiji cha Micheweni yakisubiri kutandikwa kwa ajili ya kuwapatia maji Wananchi wa maeneo hayo.
Kongole Wizara ya Maji kwa mafanikio ya programu ya WSDP
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
Wizara ya Maji inatekeleza programu mbalimbali za kimaendeleo zenye lengo
la kuboresha usambazaji wa maji kwa wananchi wake na ...
9 minutes ago
0 Comments