Jopo la Madaktari Bingwa wa Uchunguzi wa Vidonda vya Tumbo kutoka China wakimfanyia uchunguzi mmoja wa Mgonjwa wa Vidonda vya tumbo katika Hospitali ya Mnazi mmoja, baada ya kufungulia Kitengo cha Uchunguzi wa Vidonda vya Tumbo katika hospitali hiyo na kutowa faraja kwa Wananchi wanaosumbuliwa na maradhi hayo, Mashine hiyo maalumu inayo uwezo wa kugundua maradhi hayo . kikiwa chini ya Madaktari mabingwa kutoka China.
Hili la chakula shuleni, wazazi na wadau tuungane kwa pamoja
-
Chakula, mavazi na malazi ni mahitaji muhimu ya binadamu (basic needs). Ni
mahitaji ambayo maisha ya binadamu hayawezi kwenda bila kuwa nayo, ndiyo
maana ...
7 minutes ago
0 Comments