Haya yakujaa maji mabarabarani yasingekuwepo kama Serikali ya Dr Sheni ingefanyakazi kwakufuata Sera ambazo zingeboresha Ustawi wa Jamii na Miundo Mbinu.
Miji ya Unguja na Pemba haina ukubwa wakushindwa kuwekwa Seawage system za kileo. Isipokua pesa Inatafunwa na Manispaa. Pamoja na Serikali ya UVCCM.
Hivi sasa kuna Sherehe za Mapinduzi na mabilioni ya fedha zitaingizwa kwenye Matumbo ya Wahafidhina au UVCCM. Barabara hizo zimejaa maji aibu tupu
1 Comments
Haya yakujaa maji mabarabarani yasingekuwepo kama Serikali ya Dr Sheni ingefanyakazi kwakufuata Sera ambazo zingeboresha Ustawi wa Jamii na Miundo Mbinu.
ReplyDeleteMiji ya Unguja na Pemba haina ukubwa wakushindwa kuwekwa Seawage system za kileo. Isipokua pesa Inatafunwa na Manispaa. Pamoja na Serikali ya UVCCM.