na ni shujaa wa kwanza na wa kweli alieweza kumkabili dikteta nyerere kudai uhuru wa znz , tumebakia kutawaliwa na vibaraka sasa , yeye alilazimishwa kujiuzulu na alikubali hilo hakujali madaraka wala utawala kwa kutetea maslahi ya znz , lakini viongozi wenzake wanaojidai wana uchungu na znz walikaa kimyaa tuliii kama maji ya mtungi mpaka leo hii
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
2 Comments
shehe jumbe amerudi kwa mola miaka mingi tu msinasabishe na mambo ya muungano wala mapinduzi ,
ReplyDeletena ni shujaa wa kwanza na wa kweli alieweza kumkabili dikteta nyerere kudai uhuru wa znz , tumebakia kutawaliwa na vibaraka sasa , yeye alilazimishwa kujiuzulu na alikubali hilo hakujali madaraka wala utawala kwa kutetea maslahi ya znz , lakini viongozi wenzake wanaojidai wana uchungu na znz walikaa kimyaa tuliii kama maji ya mtungi mpaka leo hii
ReplyDelete