6/recent/ticker-posts

Dkt. Shein Azungumza na Balozi wa Ufaransa Ikulu Leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

1 Comments

  1. Raisi wetu yeye Kazi yake kusalimiwa Tu. Raisi kikwete yeye kila siku anapigia mbiyo Tanganyika kwenye mikutano ya kimataifa. Bonjour Mr. President!

    ReplyDelete