6/recent/ticker-posts

Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Wakitoka Kanisani Baada ya Ibada ya Ijumaa Kuu.

Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar  Askofu Michael Hafidh akisalimiana na waumini baada ya Ibaada ya Ijumaa Kuu iliofanyika kanisani hapo 

 Waumini Kanisa la Mkunazini Zanzibar wakitoka kanisani baada ya Ibaada ya Ijumaa Kuu kumalizika katika kanisa hilo 

Post a Comment

0 Comments