6/recent/ticker-posts

Kutoka Baraza la Wawakilishi

Wanziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akitabasam baada ya kupitishwa Bajeti ya Wazara yake akitoka katika ukumbi wa Baraza, akiongozana na Mwanasheria Mkuu wa Serekali Mhe. Othman Masoud, akiongea na kutabasam.  

Mwakilishi wa Mwanakwerekwe Mhe Shamsi Vuai Nahodha akisisitiza jambo na Mwakilishi wa Muyuni Mhe Jaku Hashim Ayoub, wakiwa nje ya ukumbi wa baraza baada ya kupitishwa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Mhe Jaku akiwa makini akimsikiliza.

Post a Comment

0 Comments