Muumini Dini ya Kiislam Zanzibar Shekh.
Maulid Nassor Suleiman, kutoka Pandani Pemba akiwa katika viwanja vya Ijitimai Fuoni akiwa na Ujumbe wake unaotowa mafunzo kwa Waumini wa Dini ya Kiislam kama
unavyosomeka na kutowa elimu hiyo kwa waumini waliofika Ijitimai.
HWPL Yakuza Uelewa wa Kidini Kupitia Vikao vya Awali vya IRPA Tanzania
-
**Mapitio ya Umuhimu wa Kiutendaji kwa Kuzingatia Maoni ya Jamii za Ndani*
HWPL ilifanya vikao vya maelezo kuhusu IRPA (vikao vya awali vya RPA)
kuanzia ...
1 day ago
0 Comments