6/recent/ticker-posts

Bodi ya Madawa Yaangamiza Vyakula Vilivyopita Muda Wake.

Bidhaa zilizomaliza Muda wake wake wa matumizi  zikiwa katika viwanja vya Kikungwi zikiteketezwa na moto na Bodi ya Madawa na Vipodozi ikiteketeza bidhaa hizi Soda za Kopo na Maziwa ya Unga ya Watoto 



Makopo ya Maziwa yaliokwisha muda wake yakiteketezwa kwa moto

Post a Comment

1 Comments

  1. Nadhani huu sio utratibu mzuri wa kuangamiza hizo bidhaa ki afya kwani kuna makemikali yametumika kaika kutengeneza mabox,vikopo na kadhalika,jee hakuna madhara kutokana na hayo kutokana na kuharibika kwa hewa?

    ReplyDelete