Msikiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh:
Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo
waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na mskiti huo kwa ajili ya
kupisha upanuzi wa mskiti huo.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments