Watoto wenye Ulemavu wa Akili wakiw katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi kutambulishwa kwa Ushindi wao wa Jumla katika Michuano ya Watu Wenye Ulemavu yaliofanyika katika Viwanja vya Kibaha Nje ya Mji wa Dar-es-Salaam Wiki iliopita na kuibuka na Ushindi wa Jumla katika michuano hiyo.
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
9 hours ago
0 Comments