Wananchi wa barabara ya daraja bovu wakiwa memevunja nyumba zao baada kukamilika kwa taratibu zote za kisheria ili kuendelea na ujenzi wa barabara hiyo awamu ya mwisho ya ujenzi wake ili kukamilisha mradi huo kumalizika kwa kipande kilichobaki katika ujenzi huo wa barabara mpya ya daraja bovu Zanzibar.
Masoko ya Madini Tanzania: Uwazi, Fursa na Utajiri
-
Na Wizara ya Madini
Kabla ya mwaka 2019, biashara ya madini ya dhahabu na vito nchini Tanzania,
hususan kwa wachimbaji wadogo na wafanyabiashara, ilifanyik...
16 minutes ago
0 Comments