Chama cha Wanasheria Zanzibar kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari leo tarehe 27-08-2014 saa nne asubuhi katika Ukumbi wa Watu wenye Ulemavu uliopo Wailes, Zanzibar kuzungumzia kadhia ya Wazanzibari wanaokamatwa, kusafirishwa na kufunguliwa kesi nje ya Zanzibar na mambo mengineyo yaliyojitokeza kuhusiana na kadhia hii.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
8 hours ago
0 Comments