DK Ringo
Aaron akimfanyia upasuaji Paka kwa kutoa uzazi, huko Ofisini kwakwe Wete,
ambapo huduma hiyo ya upasuaji kwa wanyama ni moja kati ya huduma za kitabibu
zinazotolewa na Idara ya Utabibu Pemba.
(Picha na Asha Salim, WUVM Pemba.)
TADB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA
-
Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa kwa mwaka 2026 yameanza
rasmi leo tarehe 19 Januari, 2026 katika Viwanja vya Usagara vilivyopo
jijini Tanga....
34 minutes ago
1 Comments
Bora mutibu hao paka maana kutibu watu mushashindwa .
ReplyDelete