MKALIMANI wa lugha za alama kisiwani Pemba, kwa watu
wenye mahitaji maalum, Bi Asha akiwafahamisha vijana wenyeulemavu wa kusema
(Bubu), wakati alipokuwa katika mafunzo yanayohusiana na maafa huko Tassaf
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
MRATIB wa TASSAF Pemba Musa Saidi Kisenge, akitoa
ufafanuzi wa jambo kwa wajumbe wa kamati za usimamizi na uongozi Tassaf Pemba,
juu ya utekelezaji wa mradi wa Tassaf awamu ya Tatu Pemba, Kuanzia Agosi 2013
hadi Agosti 2014.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
0 Comments