6/recent/ticker-posts

Waziri wa Afya na Naibu Wake Watembelea Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kuaza Kazi

 Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali  Kuu ya Mnazimmoja Zanzibar Dkt. Jamala Adam,Taib akimueleza Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif, kazi zinazofanywa na Idara hiyo alipofika ofisini kwake kuanza ziara ya kutembelea Hospitali hiyo.akiwa na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo wakiwa katika ziara hiyo leo katika Hospitali ya Mnazi mmoja.  
 Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif akiongozana na Naibu  wake Mh. Mahmoud Thabit Kombo wakitembelea eneo la Hospitali ya  Mnzammoja katika ziara yake ya kutembelea Hospitali hiyo.
 Waziri wa Afya akipata maelezo  ya shughuli za Maabara kutoka kwa  mtaalamu wa Maabara wa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Dkt. Marijani.
Mkuu wa kitengo cha maradhi ya kisukari katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Dkt Miskia Ali akitowa maelezo kwa Waziri wa Afya juu kadhia ya maradhi hayo.(Picha na Makame Mshenga -Maelezo)

Post a Comment

0 Comments