Mchezaji wa timu ya Mafunzo mwenye mpira akimpita beki wa timu ya JKU katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa amaan, timu hizi zimetoka sare ya 1--1
Mshambuliaji wa timu ya JKU akipiga krosi golini kwa timu ya Mafunzo katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan.
Mchezaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya JKU katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan.
Mchezaji wa timu ya Mafunzo kushoto na wa JKU wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan, tihi hizo zimetoka sare 1--1.
Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo wakiwapita wachezaji wa timu ya JKU na kuipatia timu yake bao la kusawazisha katika mchezo huo katika dakika ya 88 ya mchezo kipindi cha pili mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
0 Comments