6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar Awasili Dodoma Kuhudhuria Sherehe ya kukabidhiwa Katiba.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkuu wa Mkoa Dodoma Dk.Reheme Nchimbi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa na  Bunge Maalum la  katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma
 Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge la  Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na  Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Bunge la  Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na  Bunge Maalum la  katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments