Wananchi wa Shehia ya Junguni Jimbo la Gando kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo ya kuibua miradi kunusuru Kaya Masikini mradi unaosimasmiwa na Tasaf 3, kuwainua Wananchi katika kipato kupitia mradi huo.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
2 hours ago


0 Comments