6/recent/ticker-posts

Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya mafanikio ya chanjo ya Surua

baadhi ya Waandishi wa Habari , Mchanga Haroub kutoka ZBC Radio na Moh'd Khalfan Ali, Kutoka Habari maelezo Pemba, wakisikiliza kwa makini taarifa ya mafanikio ya Chanjo hizo kutoka kwa maratibu wa Chanjo ya Surua /Rubella , Abduhamid Ameir Saleh, huko Kisiwani Pemba.

Picha na bakar Mussa-Pemba

Post a Comment

0 Comments