Mshauri mwelekezi kutoka kampuni ya Shapira Hellerman ya Israel, Jos Hellerman akitoa taarifa ya ramani ya Mji wa Zanzibar katika mkutano uliozungumzia mpango wa kuandaa matumizi bora ya ardhi katika Hoteli ya Marumaru, Shangani Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Mipango Miji na vijiji Muhammad Juma akitoa maelezo kwa washiriki wa mkutano wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Marumaru, Shangani.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
0 Comments