Meli ya Azam Sealink ikitowa huduma ya usafiri kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba imepunguza shida ya usafiri kati ya visiwa hivi viwili iliokuwa ikiikabili na kufikia tiketi kuuzwa kwa bei ya juu kwa wasafiri wa sehemu hizo kutokana na upungufu wa vyombo vya usafiri, kama inavyoonekana picha abiria wanaokwenda kisiwani pemba wakipanda meli hiyo katika bandari ya zanzibar.
UJUMBE WA KATIBU MKUU WA TRAMEPRO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA
FIGO – 12 MACHI 2026
-
Kwa niaba ya Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO),
napenda kuungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na
jumuiya ...
23 minutes ago
1 Comments
Lakini "First Class" ya meli hii siku meli ikijaa ni majanga tu. Watu wanajaa kule juu na kila mmoja anataka nafasi ya kulala. Dawa yake ni kule juu kujengwe ili kuwa kuna viti vya uhakika na sio yale "makochi". Pia meli hii ikinyesha mvua ni majanga pia. Hasa ikiwa imejaa. Lakini ndio meli ya Pemba, tushazoea shida.
ReplyDelete